15/04/2013

HADITHI ! MNYERERE, MTI WA KIMACHINGA


Ilikuwepo kama nyinyi hapa kabila yenu. Wanawake mnaposa, wanakuja hapa. Kuna mti kama nyumba ya mama yenu inayozunguka huko majumba, jina lake mnyenyere, mjiti huu kimachinga. Sasa kula kwake hao jamaa, kina Thwaumu wale, wale wanaokuposa kutoka mbali, vibaya. Wakila wanazuka mti ule ule, kama wenzao vilevile. Sasa alitaka mwari huyu kuolewa. Anaambia bibi..Hakuna maoni:

Chapisha Maoni