26/04/2013

HADITHI ! MASKINI, MKEWE NA SULTANI


Alikuwepo bwana mmoja masikini kabisa. Anakaa porini huko. Kazi yake kuchonga kuchonga mipingo hivi, anaweka ndani, fimbo fimbo wanakuja kununua watu, anapika anakula, na kitunga chake cha kuchungia unga. Sasa kwa bahati, ikawa akakaa, hata siku hiyo moja, akirudi alipokwenda akifika pale, anakuta mti ule umezuka mtu... (ifuatayo katika kitabu changu : Contes swahili, tome 2)


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni