15/05/2013

Hadithi ! Karikaranje, mtoto mjanjaMwanzo wa hadithi : Kuliwepo bibi mmoja na mumewe aliyeolewa. Akawa mja mzito. Katika uja uzito, sisi ndugu wanawake akiwa mtu kwa homa hizo inakuwa kinywani humu, kukitaka kitu cha mchuuzi, kukitaka kitu cha sukari kama hivi, kama hukukipata kitu kile, inakuwa taabu rohoni. Sasa bibi huyu ilikuwa ana uchu, hana mchuzi nyumbani, mboga tu...Hakuna maoni:

Chapisha Maoni