15/06/2013

Hadithi ! Mohamed, farasi yake na mbwa wakeAlitokea mzamani, mzamani si mzamani kama mtu wa zamani. Alitokea bwana mmoja, huyu kwa enzi hizo ilikuwa kuna enzi ambayo mtoto wa kike akizaliwa auwawe. Basi ikatokea sheria moja hiyo ya mji. Ikatosha pale. Kuna bwana mmoja ana watoto wengi, lakini pia mkewe naye ana himira. Basi pale watoto wa kike wakizaliwa, wanachinjwa tu...


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni