03/07/2013

Hadithi ! Mwenzangu na mkewe


Alitokea mzamani, watu wa zamani. Alikuwepo mtu na rafiki yake. Toka udogo wao wamecheza pamoja toka wamekua mambo yao mamoja, mpaka wamekaa. "Babu wee, maisha ndo maisha, maisha magumu. Tufanyeje ?"


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni