27/07/2013

Hadithi ! Mtega mitego kanasa tumbili


Alitokea mzamani, mzamani si mzamani kama mtu wa zamani, huyu alikuwa mtega mitego, anatega mitego anapata mbutuka mbawala, anachinja kitoweo, nyama nyingine anauza, anapata mahitaji mengine, kazi yake ya mitego, mpaka ikafika hatua ya siku moja akakinasa kitumbili kidogo, yaani mtoto wa tumbili...Hakuna maoni:

Chapisha Maoni