03/08/2013

Hadithi ! Watoto wenye meno ya dhahabu


Muhtasari : wakina dada watatu wamezaliwa huku wakikua bila ya meno. Ikawa wakatafuta meno wakayapata ya dhahabu wakisaidiwa na bibi kizee kipofu. Kisha mdogo katika watatu hawa akaolewa na mtoto wa Sultani lakini wakubwa wake, kwa kuona wivu wakajaribu kumwua. Mpango huo ukashindikana wakapewa adhabu kali.Hakuna maoni:

Chapisha Maoni