15/07/2013

Hadithi ! Kivukwi na kororo


Alitokea bwana mmoja akiitwa jina lake Kivukwi. Katika kuvua pwani kutwa anarudisha samaki wake wawili tu, mmoja anauza kupata ukana, yule mwingine wa kutafunia ukana ule. Basi ndo faradhi yake. Asubuhi pwani. Hana mwanamke hana nini...


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni