15/03/2013

Hadithi ! Mvuvi na chewa


Alitokea mzamani akawepo mvuvi mmoja wa samaki, bwana huyu kazi yake kuvua samaki, ndo kazi yake maalum ya kutafuta riziki, ya kula. Amevua samaki, amevua samaki, anauza, amevua samaki, anapasua, amevua samaki, anauza. Hata siku hiyo, akenda zake baharini akenda kumpata samaki mkubwa, na jina lake anaitwa chewa.


 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni