11/04/2013

HADITHI ! MATOGA YA MKE WANGU


Mwindaji maarufu amepatana na simba awe rafiki yake ya kumsaidia katika kusaka windo zake. Lakini mkewe akafanya wivu mpaka ikafikia hatua akafuja ushirikiano huo.

Hii ifuatao ni hadithi hii niliyoirekodi mwaka 2006 Pande, wilaya ya Kilwa. Hadithi hiyo imechapishwa katika kitabu kimojawapo hapo juu, sehemu ya kwanza, ikitafsiriwa kwa kifaransa.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni